Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop)

所在平台: Udemy

课程主页: https://www.udemy.com/course/jifunze-graphics-design-adobe-photoshop/

课程评论:没有评论

第一个写评论        关注课程

课程简介

课程名称:Jifunze Graphics Design (Adobe Photoshop) 课程概述:欢迎参加使用Adobe Photoshop进行平面设计的培训课程。Adobe Photoshop是一款用于照片编辑和图形设计的软件。在本课程中,您将学习如何使用Adobe Photoshop的各种工具,并了解如何进行不同类型的设计,如海报设计、名片设计、宣传册设计、传单设计等。课程将提供您所需的文件,以便您逐步练习每个学习的内容。 本课程从零基础开始,允许您逐步学习,从完全不懂到能够自主设计以及为他人创作并获得报酬的专业能力。加入课程后,您将获得持续的支持,以帮助您顺利学习。此外,我们还将介绍作为平面设计师所需了解的所有重要网站和一些参考资源,便于您更快地学习。 在学习过程中,您需要不断实践所学内容,例如观看一段视频并理解后进行练习,确保您在掌握后再继续下一段视频,这将大大提高您的学习效率和理解能力。祝您学习愉快,欢迎您进入平面设计的技能世界!

课程评论(0条)

课程详情

Karibu katika mafunzo Graaphics Design kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop. Ni programu inayotumika kufanya Photo Editing na Graphics design. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe Photoshop kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile posters design, business cards design, Brochure design, Flyers design, n.k utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uweze kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design sasa.

课程标签

0人关注该课程

主题相关的课程