|
所在平台: Udemy |
课程主页: https://www.udemy.com/course/jifunze-adobe-indesign-full-course/
课程评论:没有评论
课程名称:Adobe InDesign 全方位教程 课程概述: 欢迎学习使用 Adobe InDesign 进行版式设计的课程。InDesign 是一款功能强大的软件,广泛应用于多页面的设计项目,例如报纸、日历、折页宣传册、书籍、杂志等。 在本教程中,您将学习: * 如何使用 Adobe InDesign 的各种工具。 * 如何进行各种类型的版式设计,包括折页宣传册、书籍封面等。 * 课程提供教学文件,方便您跟随每一步进行实践练习。 该课程从零基础开始,循序渐进,即使您对 InDesign 完全不了解,也能逐步掌握技能,最终能够独立完成设计作品,甚至作为专业人士为他人提供设计服务并获得报酬。 课程特色: * 提供全程学习支持,确保您学习过程的顺畅。 * 介绍作为平面设计师必备的关键网站和资源,帮助您快速学习。 * 强调实践的重要性,建议您每学习完一个视频后立即进行练习,以加深理解和掌握。 课程目标: 无论您的起点如何,通过系统的学习和练习,您将能够熟练运用 InDesign 完成各类版式设计,开启您的平面设计/版式设计之旅。
Karibu katika mafunzo Layout Design kwa kutumia programu ya Adobe InDesign. Ni programu inayotumika kufanya design za pande zaidi ya moja kama vile magazeti, kalenda, vipeperushi mkunjo, vitabu, majarida, n.k katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe InDesign kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya designing mbalimbali kama vile brochure/vipeperushi mkunjo, Vitabu, kava za vitabu, n.k utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabsa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Graphics Designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Graphics design/Layout designer sasa.