Jifunze Adobe After Effects full Course

所在平台: Udemy

课程主页: https://www.udemy.com/course/jifunze-adobe-after-effects-full-course/

课程评论:没有评论

第一个写评论        关注课程

课程简介

课程名称:Adobe After Effects 全套课程 课程概述: 欢迎学习使用 Adobe After Effects 进行动态设计(Motion Design)。这款软件广泛应用于制作Logo动画、动态图形(Motion Graphics)、视频片头和片尾、字幕条(Lowerthird)、短视频广告、3D视频等。 在本课程中,你将学习: * 如何使用 Adobe After Effects 的各种工具。 * 逐步掌握各种动画制作技巧,直至精通。 * 制作视频广告、运动跟踪(Motion tracking)、音频频谱(Audio spectrum)等。 * 课程提供练习文件,方便你巩固所学知识。 课程特点: * 从零开始,循序渐进,即使是初学者也能轻松上手,最终能够独立完成动态设计项目,甚至成为专业人士并以此盈利。 * 全程提供学员支持,帮助你更顺畅地学习。 * 介绍动态设计师必备的重要网站和部分常用资源,加速你的学习进程。 * 强调实践的重要性,建议学员边学边练,确保理解每个知识点,逐步深入。 课程目标: 通过本课程,你将能够熟练运用 Adobe After Effects 进行动态设计,并获得专业的技能。

课程评论(0条)

课程详情

Karibu katika mafunzo Motion Design kwa kutumia programu ya Adobe After Effects. Ni programu inayotumika kufanya Logo animation, Motion Graphics, Into na Opener za Videos, Lowerthird, matangazo mafupi ya videos, 3D Videos n.k. Katika mafunzo haya utajifunza jinsi kutumia tools mbalimbali za Adobe After effects kisha utaenda kujifunza namna ya kufanya animations mbalimbali hatua kwa hatua mpaka unamaster, kutengeneza matangazo ya videos, Motion tracking, Audio spectrum n.k pia utapatiwa na files zilizotumika kufundishia ili uwe kufanyia mazoezi kila unachojifunza hatua kwa hatua. Ni mafunzo ambayo yameanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho, hivyo kukuwezesha kujifunza hatua kwa hatua ukiwa haujui chochote mpaka kufikia hatua ambayo utaweza kufanya motion design zako mwenyewe au kuwatengenezea watu na kisha wakulipe kama mtaalamu.Ukijiunga na mafunzo haya utapatiwa pia usaidizi wakati wote wa kozi ili kukuwezesha kupata urahisi wakati unajifunza na nimeweka na kuelezea tovuti zote muhimu ambazo unakiwa kuzifahamu kama Motion designer na pia baadhi ya resources nilizotumia nimekuweka pia hivyo itakuwa rahisi kwako kujifunza kwa haraka zaidi ukijiunga na mafunzo haya. Pia wakati unajifunza unakiwa uwe unafanyia mazoezi yote unayojifunza ili iwe rahisi kwako kujifunza na kuelewa masomo yetu, kwa mfano hakikisha unaangalia video moja na kuielewa na kuifanyia mazoezi bukishajiridhisha umeweza hapo ndio endelea na video nyingine hii itakupa uwezo wa kuelewa kiurahisi zaidi na kwa haraka sana. Nikutakie mafunzo mema na nikukaribishe kwenye ulimwengu wa ujuzi wa Motion design sasa.

课程标签

0人关注该课程

主题相关的课程